Ufafanuzi wa dirisha katika Kiswahili

dirisha

nominoPlural madirisha

  • 1

    nafasi iliyoachwa katika ukuta wa nyumba, agh. huwekewa mbao au kioo, ili kupitishia mwanga na hewa.

Asili

Kaj

Matamshi

dirisha

/diri∫a/