Ufafanuzi wa diro katika Kiswahili

diro

nomino

  • 1

    mahali watu wanapokusanyika na kula pamoja, hususan wakati wa kufuturu.

Matamshi

diro

/dirÉ”/