Ufafanuzi wa diskaunti katika Kiswahili

diskaunti

nominoPlural diskaunti

  • 1

    punguzo la bei kwa makubaliano.

Asili

Kng

Matamshi

diskaunti

/diskawunti/