Ufafanuzi wa disketi katika Kiswahili

disketi

nomino

  • 1

    kijisahani cha kompyuta kinachotumika kuhifadhia data.

Asili

Kng

Matamshi

disketi

/diskɛti/