Ufafanuzi wa disko katika Kiswahili

disko

nominoPlural madisko

  • 1

    muziki unaopigwa katika jumba la starehe au mahali popote penye sherehe kwa kutumia kanda, n.k. bila bendi kuwapo.

Asili

Kng

Matamshi

disko

/diskɔ/