Ufafanuzi wa divai katika Kiswahili

divai

nominoPlural divai

  • 1

    kileo kinachotengenezwa kwa maji ya zabibu au matunda mengineyo.

    mvinyo

Asili

Kfa

Matamshi

divai

/divaji/