Ufafanuzi wa dividii katika Kiswahili

dividii

nominoPlural dividii

  • 1

    chombo cha kupigia muziki au kutolea na kuonyeshea picha za sinema kwa kutumia diski ya dividii.

Asili

Kng

Matamshi

dividii

/dividi:/