Ufafanuzi wa doa katika Kiswahili

doa

nominoPlural madoa

  • 1

    alama au tone ambalo lina rangi tofauti na mwili wa kitu.

    baka, bato, paku, waa

  • 2

    dosari, taathira

Matamshi

doa

/dɔwa/