Ufafanuzi msingi wa doda katika Kiswahili

: doda1doda2

doda1

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

 • 1

  salia kwa kitu, agh. nyama au samaki, mpaka kuharibika.

  china

 • 2

  bakia bila ya kununuliwa au kutumiwa.

  selea, dorora, gonea, china

 • 3

  kosa kitu baada ya kujaribu sana kukipata.

 • 4

  bakia nyuma.

  salia

Matamshi

doda

/dɔda/

Ufafanuzi msingi wa doda katika Kiswahili

: doda1doda2

doda2

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

 • 1

  vuja au dondoka kwa kitu cha majimaji, tone baada ya tone.

 • 2

  tona

Matamshi

doda

/dɔda/