Ufafanuzi wa dodoso katika Kiswahili

dodoso

nominoPlural madodoso

  • 1

    orodha ya maswali ya utafiti ambayo mtafiti atamuuliza mtafitiwa kwa mdomo.

    kidadisi

Matamshi

dodoso

/dɔdɔsɔ/