Ufafanuzi wa dokeza katika Kiswahili

dokeza

kitenzi elekezi

  • 1

    toa muhtasari wa habari juu ya jambo fulani.

  • 2

    tia kidogo kama dawa au maji.

Matamshi

dokeza

/dɔkɛza/