Ufafanuzi msingi wa dola katika Kiswahili

: dola1dola2

dola1

nominoPlural madola, Plural dola

  • 1

    chombo chenye mamlaka ya kuendesha utawala au siasa ya nchi.

    ‘Jumuia ya Madola’
    serikali, taifa

Asili

Kar

Matamshi

dola

/dɔla/

Ufafanuzi msingi wa dola katika Kiswahili

: dola1dola2

dola2

nominoPlural madola, Plural dola

  • 1

    fedha zitumikazo Marekani, Kanada na baadhi ya nchi nyingine.

Asili

Kng

Matamshi

dola

/dɔla/