Ufafanuzi wa domokaya katika Kiswahili

domokaya

nomino

  • 1

    mtu anayesema maneno mengi yasiyo na maana.

    mpigadomo, mbeya, mdaku

Matamshi

domokaya

/dɔmɔkaja/