Ufafanuzi wa donda katika Kiswahili

donda

nominoPlural madonda

  • 1

    jeraha kubwa katika mwili ambalo halijapona kwa muda mrefu.

    kaga

Matamshi

donda

/dɔnda/