Ufafanuzi msingi wa dondo katika Kiswahili

: dondo1dondo2

dondo1

nominoPlural madondo

 • 1

  kauri kubwa inayotumiwa na mafundi cherahani kusawazishia pindo.

  kauri

 • 2

  wanga uliomo katika kitambaa.

  ‘Bafta yenye dondo’

Matamshi

dondo

/dɔndɔ/

Ufafanuzi msingi wa dondo katika Kiswahili

: dondo1dondo2

dondo2

nominoPlural madondo

 • 1

  aina ya kaa wa baharini asiyeliwa.

  ‘Kaa dondo’

Matamshi

dondo

/dɔndɔ/