Ufafanuzi msingi wa dondoo katika Kiswahili

: dondoo1dondoo2dondoo3

dondoo1

nomino

 • 1

  sehemu ya maandishi au mazungumzo iliyokaririwa au kunukuliwa.

 • 2

  dokezo la ajenda za mkutano.

Matamshi

dondoo

/dɔndɔ:/

Ufafanuzi msingi wa dondoo katika Kiswahili

: dondoo1dondoo2dondoo3

dondoo2

nomino

 • 1

  tendo la samaki kudona chambo cha ndoana.

  mlisho

Matamshi

dondoo

/dɔndɔ:/

Ufafanuzi msingi wa dondoo katika Kiswahili

: dondoo1dondoo2dondoo3

dondoo3

nomino

 • 1

  tabia ya uzinifu.

  uzinzi, uasherati, uzinifu

Matamshi

dondoo

/dɔndɔ:/