Ufafanuzi wa dondora katika Kiswahili

dondora

nomino

  • 1

    mdudu mkubwa anayeuma kama nyuki.

    mavu, nyigu

Matamshi

dondora

/dɔndɔra/