Ufafanuzi wa dondosha katika Kiswahili

dondosha

kitenzi elekezi

  • 1

    achia kitu kianguke.

Matamshi

dondosha

/dɔndɔ∫a/