Ufafanuzi wa dongoa katika Kiswahili

dongoa

nominoPlural madongoa

  • 1

    udongo uliokauka na kumeguka kutoka katika jengo fulani.

Matamshi

dongoa

/dɔngɔwa/