Ufafanuzi wa dosari katika Kiswahili

dosari

nominoPlural dosari

  • 1

    hali inayopunguza ukamilifu wa kitu.

    taksiri, kasoro, ila, mushkili, taathira, walakini, doa, guni

Asili

Kar

Matamshi

dosari

/dɔsari/