Ufafanuzi wa doya katika Kiswahili

doya

kitenzi elekezi

  • 1

    peleleza mambo ya siri ya watu au nchi.

    pandia, rombeza, jasisi, duhusi, dukiza

  • 2

    doea

Matamshi

doya

/dɔja/