Ufafanuzi wa dozi katika Kiswahili

dozi

nominoPlural dozi

  • 1

    kipimo cha dawa anachopaswa kutumia mgonjwa.

Asili

Kng

Matamshi

dozi

/dɔzi/