Ufafanuzi wa drili katika Kiswahili

drili

nominoPlural drili

  • 1

    mazoezi ya kunyosha viungo vya mwili.

    kwata

Asili

Kng

Matamshi

drili

/drili/