Ufafanuzi wa dua katika Kiswahili

dua

nominoPlural dua

 • 1

  maombi anayoombwa Mungu tu.

  ‘Omba dua’
  ‘Apizwa, laaniwa’
  methali ‘Dua ya kuku haimpati mwewe’
  sala, maombi

Asili

Kar

Matamshi

dua

/duwa/