Ufafanuzi wa dubu katika Kiswahili

dubu

nominoPlural madubu

  • 1

    mnyama mkubwa wa mwituni mwenye manyoya mengi yasiyo laini na ambaye asili ya maisha yake ni sehemu za baridi zilizoko Kaskazini mwa dunia.

  • 2

    mtu mpumbavu au baradhuli.

Asili

Kar

Matamshi

dubu

/dubu/