Ufafanuzi wa dubwasha katika Kiswahili

dubwasha

nomino

  • 1

    kitu kisicho na thamani au kisichofahamika jina au umbo lake.

Asili

Khi

Matamshi

dubwasha

/dubwa∫a/