Ufafanuzi wa dudia katika Kiswahili

dudia

kitenzi elekezi

  • 1

    jaza pumzi au upepo.

    ‘Dudia kibofu’

Matamshi

dudia

/dudija/