Ufafanuzi wa dudumia katika Kiswahili

dudumia

kitenzi sielekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~wa, ~za

  • 1

    penya kwa nguvu.

    toboa, didimia

  • 2

    kunywa maji kwa nguvu.

    gagamiza, gugumia

Matamshi

dudumia

/dudumija/