Ufafanuzi wa dudumizi katika Kiswahili

dudumizi

nominoPlural dudumizi

  • 1

    ndege jamii ya shundi asiyejenga kiota.

    tipitipi, gude, shundi

Matamshi

dudumizi

/dudumizi/