Ufafanuzi wa duguda katika Kiswahili

duguda

kitenzi elekezi

  • 1

    tikisa kitu ndani ya kitu kingine.

Matamshi

duguda

/duguda/