Ufafanuzi wa duhuli katika Kiswahili

duhuli

nomino

  • 1

    mali ya kuanzishia biashara.

    mtaji

Asili

Kar

Matamshi

duhuli

/duhuli/