Ufafanuzi msingi wa dukizi katika Kiswahili

: dukizi1dukizi2

dukizi1

nominoPlural madukizi

  • 1

    hali ya kusikiliza maongezi ya watu kwa siri.

Matamshi

dukizi

/dukizi/

Ufafanuzi msingi wa dukizi katika Kiswahili

: dukizi1dukizi2

dukizi2

nominoPlural madukizi

  • 1

    mtu anayesikiliza mambo kwa siri.

    mdoya, mdukizi, duzi

Matamshi

dukizi

/dukizi/