Ufafanuzi wa dumaa katika Kiswahili

dumaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~za

  • 1

    kuwa na kimo kidogo kwa binadamu, mimea au wanyama kutokana na kasoro za lishe au maradhi.

    finyaa, via

  • 2

    kuwa na akili pungufu.

Matamshi

dumaa

/duma:/