Ufafanuzi wa dume katika Kiswahili

dume

nominoPlural dume

 • 1

  mnyama wa kiume.

  ‘Mbuzi dume’

 • 2

  mtu shujaa.

  asiyeogopa

 • 3

  karata yenye thamani kubwa kuliko zote katika mchezo wa wahedi sitini.

  ree

Matamshi

dume

/dumɛ/