Ufafanuzi wa dumia katika Kiswahili

dumia

kitenzi elekezi

  • 1

    tumia au kunywa maji kwa uchache wakati wa shida.

Matamshi

dumia

/dumija/