Ufafanuzi msingi wa dundu katika Kiswahili

: dundu1dundu2dundu3

dundu1

nomino

 • 1

  ganda kavu la boga au buyu linalotumika kwa kutilia vitu vya majimaji.

Matamshi

dundu

/dundu/

Ufafanuzi msingi wa dundu katika Kiswahili

: dundu1dundu2dundu3

dundu2

nomino

 • 1

  rundo la vitu.

  mtumba

Matamshi

dundu

/dundu/

Ufafanuzi msingi wa dundu katika Kiswahili

: dundu1dundu2dundu3

dundu3

nomino

 • 1

  mdudu anayebeba uchafu.

  tuta

Matamshi

dundu

/dundu/