Ufafanuzi wa dungua katika Kiswahili

dungua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    fanya kitu kilicho angani k.v. ndege kuanguka kwa kutumia silaha k.v. kombora.

    dukua

Matamshi

dungua

/dunguwa/