Ufafanuzi wa dungudungu katika Kiswahili

dungudungu

nominoPlural madungudungu

 • 1

  neno linaloeleza kitu chochote cha ajabu.

  ajabu, kioja, muujiza, kituko, shani, hekaya

 • 2

  mtu aliyeumbika vibaya.

 • 3

  ujiti wa jani la mpapai.

Matamshi

dungudungu

/dungudungu/