Ufafanuzi wa dunisha katika Kiswahili

dunisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya kuwa duni; teremsha thamani.

    rahisi, hafifisha

  • 2

    aibisha, tweza, beza, tehemu, hizi, umbua

Matamshi

dunisha

/duni∫a/