Ufafanuzi msingi wa duru katika Kiswahili

: duru1duru2

duru1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  enda kwa mzunguko.

 • 2

  zunguka kwa kila mtu au mahali kwa zamu; enda kwa noba.

Asili

Kar

Matamshi

duru

/duru/

Ufafanuzi msingi wa duru katika Kiswahili

: duru1duru2

duru2

nominoPlural duru

 • 1

  hali ya kuzunguka kwa zamu.

  ‘Shika duru’
  mlimbiko

Asili

Kar

Matamshi

duru

/duru/