Ufafanuzi wa durusisha katika Kiswahili

durusisha

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya mtu arudie alichokisoma awali.

Asili

Kar

Matamshi

durusisha

/durusi∫a/