Ufafanuzi wa durusu katika Kiswahili

durusu

kitenzi elekezi

  • 1

    soma au pitia tena kilichokwisha someshwa kwa makini.

    talii

  • 2

    pitia tena maandishi yaliyoandikwa zamani kwa madhumuni ya kusahihisha, kuongeza au kuboresha ili kutoa chapisho jipya.

Asili

Kar

Matamshi

durusu

/durusu/