Ufafanuzi wa dusa katika Kiswahili

dusa

kitenzi elekezi

  • 1

    pata chakula kwa kuwategemea wengine.

    doea, doya

Matamshi

dusa

/dusa/