Ufafanuzi msingi wa dutu katika Kiswahili

: dutu1dutu2

dutu1

nominoPlural madutu

 • 1

  kilima kidogo.

  chuguu

 • 2

  umbo, sura, kitu

 • 3

  kipele cha mwilini au usoni; kijiwe cha usoni.

  chunusi, chunjua, chuka, kidudusi

Matamshi

dutu

/dutu/

Ufafanuzi msingi wa dutu katika Kiswahili

: dutu1dutu2

dutu2

nominoPlural madutu

 • 1

  kitabu, hasa kikubwa.

  chuo

Matamshi

dutu

/dutu/