Ufafanuzi wa duvi katika Kiswahili

duvi

nominoPlural maduvi

  • 1

    koa la konokono wa baharini ambalo hutobolewa tundu chini na mabaharia na hupulizwa ili kutoa sauti ya kuashiria jahazi kung’oa nanga bandarini.

    ‘Piga duvi’
    kome

Matamshi

duvi

/duvi/