Ufafanuzi wa ebo! katika Kiswahili

ebo!

kiingizi

  • 1

    neno la kuonyesha mshangao au dharau, agh. hutumiwa kwa watoto au kwa walio chini ya mtu kwa umri au cheo.

Asili

Kar

Matamshi

ebo!

/ɛbɔ/