Ufafanuzi wa Edeni katika Kiswahili

Edeni

nominoPlural Edeni

  • 1

    Kidini
    Bustani ya Edeni.

  • 2

    mahali panapoaminika kwamba binadamu wa kwanza, Adamu na Hawa, waliishi kabla ya kumuasi Mungu.

    paradiso, firdausi, pepo

Asili

Kng

Matamshi

Edeni

/ɛdɛni/