Ufafanuzi wa egemea katika Kiswahili

egemea

kitenzi elekezi

  • 1

    lalia kitu kilichosimama, agh. kwa kupumzika.

Matamshi

egemea

/ɛgɛmɛja/