Ufafanuzi wa egemeza katika Kiswahili

egemeza

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    weka mtu au kitu ili kiegemee mahali fulani.

Matamshi

egemeza

/ɛgɛmɛza/