Ufafanuzi wa Ekaristi katika Kiswahili

Ekaristi

nominoPlural Ekaristi

Kidini
  • 1

    Kidini
    mkate na divai vinavyotolewa katika ibada ya misa kama ukumbusho wa karamu ya mwisho ya Yesu Kristo.

Asili

Kng

Matamshi

Ekaristi

/ɛkaristi/